online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Paka Onja

Paka Onja

Kitabu kinachojenga ujuzi wa lugha

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). 

Paka onja anahisi njaa ya kupindukia. Mate yanamdondoka anapoingia kwenye hoteli na kuona sahani zilizojaa vyakula tofauti. Anaonja vyakula hivyo na kuvitema mara moja. Kwa nini anavitema ingawa ana njaa? Paka onja atakula nini? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.

Author:
Rebecca Nandwa

Parents are also buying

KSh 500.00
KSh 580.00
KSh 500.00
KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.