online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Panya na Chura

Panya na Chura

SIMULIZI ZA KUFURAHISHA ZINAZOFUNDISHA MAISHA

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto juu ya mawasiliano na umuhimu wa kushikilia urafiki.

Chura na Panya ni majirani. Panya anamwalika Chura nyumbani kwake kisha urafiki wao unaanza moja kwa moja. Je, urafiki huu umejikita kwenye ukweli na uaminifu au la? Soma hadithi hii ili upate uhondo kamili

Author:
Muthoni Muchemi

Parents are also buying

KSh 500.00
KSh 580.00
KSh 500.00
KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.