- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha watoto kuwa na ujasiri kila wakati wa kupambana na
shaka na woga.
Shida inayowakumba vyura wawili, Hana na Chanya ni moja lakini fikira na mielekeo yao kuhusu shida hiyo ni tofauti. Je, ni nani anayejiokoa?