VITUKO VYA KUSISIMUA VINAVYO FUNDISHA SOMO LA MAISHA
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kuhusu hadithi za uwongo.
Manga ana hamu kuu ya kuwa mganga lakini ufalme wa Lirambo tayari una mganga mashuhuri mwenye wivu. Ni nani atakayemfundisha Manga siri za uganga? Je ndoto yake itawahi kutimia?