- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachofundisha watoto kuwa jasiri hata wakati wanaogopa.
Utawaona ngiri mara nyingi katika maeneo tambarare ya barani Afrika. Wao utembea sanjari wakiwa katika makundi madogo madogo. Wana mikia mirefu myembamba yenye kishungi cha nywele. Wao hutembea wakiinua mikia hiyo
ikawa kama bendera.