online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Kaka kama Sungura

Kaka kama Sungura

VITUKO VYA KUSISIMUA VINAVYO FUNDISHA SOMO LA MAISHA

Hadithi inayofundisha stadi za maisha Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Gredi 4). Ni kitabu kinachofundisha uonevu huumiza, sifa huhimiza

Wanafunzi wenzake walimbandika jina ‘Kaka Sungura’ kwa sababu meno yake yalifanana na ya sungura. Mvulana huyo wa Darasa la Nne alipochoshwa na uchokozi, alibuni mbinu maalumu za kukabiliana na wanafunzi hao wakorofi. Je, mbinu hizo zilifaulu? Jisomee hadithi hii ya kuvutia utambue njia za kupambana na utani.

Author:
Muthoni Muchemi

Parents are also buying

KSh 500.00
KSh 580.00
KSh 500.00
KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.