online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Safari ya Penseli Pisho

Safari ya Penseli Pisho

VITUKO VYA KUSISIMUA VINAVYO FUNDISHA SOMO LA MAISHA

 

Hadithi inayofundisha stadi za maisha. Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Gredi 4). Ni kitabu kinachofundisha uvumilivu na jinsi ya kutokata tamaa maishani.

Pisho, penseli, anatoweka kutoka kwa Musa, mmilikaji wake. Anapodhani amepata uhuru kwa kutoroka, anakumbana na masaibu chungu nzima katika safari yake. Mathalani, anatumiwa kutoa nta masikioni, anatumiwa kama brashi na kuwa mlingoti wa bendera. Isitoshe, wakati mwingine anatafunwatafunwa kama chakula. Je, Pisho atastahimili masaibu haya yote? Ataweza kurejea nyumbani siku moja?

Author:
Vaishnavi Ram Mohan

Parents are also buying

KSh 500.00
KSh 580.00
KSh 500.00
KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.