online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Siri Hospitalini

Siri Hospitalini

VITUKO VYA KUSISIMUA VINAVYO FUNDISHA SOMO LA MAISHA

 

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 8-9 (Gredi 4).Ni kitabu kinachopambana na ufisadi na ushauri kwamba mwisho wa ufisadi huanza na wewe.

Jumatatu asubuhi, Malit ameshindwa kuamka ili aende shuleni. Dada yake mdogo, Nashipae, anashangazwa na kulala huku kwake kwa muda mrefu. Je, ni tabia mpya ya Malit ama anaugua? Kwa kawaida, Malit ndiye humwamsha Nashipae kila siku. Nashipae anawaarifu wazazi kisha wanatambua kuwa Malit anaugua. Anapelekwa hospitalini mbiombio. Bi Pulei anapomfikisha mwanawe Malit hospitalini, anagundua kuwa ufisadi umekita mizizi huko. Mama yuko katika njia panda. Atoe hongo ili mwanawe ahudumiwe ama asitoe ili adumishe uzalendo?

Author:
Joseph Maina

Parents are also buying

KSh 500.00
KSh 580.00
KSh 500.00
KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.