- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Ukame mkali unaiangamiza ardhi ya eneo la Nkoko.
Hamna chakula wala maji. Mimeaimenyauka na mitoinazidi kukauka nakusababisha vifo vya mifugo. Mzee Tilipu anamtuma mwanawe, Leiyan, kutafutamsaada kwa mtaalamuwa kuchochea mvua anayeishi katika eneo jirani, yaani mgimbi. Mgimbi anagundua kuwa mvua imezuiliwa na jitu moja linaloishi katika eneo la Nkoko. Wenyeji wa Nkoko wanalazimika kuwatuma mashujaa wao kwenda kulisakajibu hilo kabla ya ukame kuwaangamiza kabisa. Mashujaa hao ni kina nani? Kiongozi wao ni nani? Je, Leiyan atathibitisha vipi kuwa anaweza kuwaongoza wapiganaji ilhali yeye ndiye mdogo zaidi kati yao.