online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Bingwa wa Kitaifa

Bingwa wa Kitaifa

Janet alitazama tarakilishi iliyokuwa mbele yake na kuogopa. Alikuwa amesoma matini ya Maria ya somo la Tarakilishi kutoka madarasa ya awali ili kujitayarisha kwa kipindi hicho, lakini ilionekana kana kwamba kila kitu alichojifunza kilitoweka na kuacha akili yake wazi. Aliitazama juu na chini na kutamka ombi kimoyomoyo...Muda huo huo, mwalimu wao wa somo la Tarakilishi aliingia darasani. Kila mmoja akasimama...

Janet amejiunga na shule mpya iliyoko Nairobi ili kusomea somo la Tarakilishi. Kwa kuwa amelelewa kijijini, Janet hana mwao kuhusu somo hilo. Je, anaishia vipi kuibuka mshindi katika mashindano ya kupiga chapa?

Author:
Mildred Odera

Parents are also buying

KSh 500.00
KSh 580.00
KSh 500.00
KSh 500.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.