online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Nasibu

Nasibu

Riwaya hii ni ya wanafunzi walio kati ya Gredi ya 7-9. 

Mara tu Nairese alipotia mguu wake ndani ya kantini, wanaume wawili kutoka msitu wa karibu walimvamia kwa ghafla. Walimfunga macho na mdomo kwa vitambaa na kumburuta hadi katikati ya msitu mkubwa wa Kaithe, msitu ambao hakuna aliyethubutu kuuingia isipokuwa majasiri na wale majambazi. Nairese alijitahidi kujinasua, lakini wanaume wale walimshinda nguvu. Alikuwa kama nzi kwenye pembe ya ndovu. Watu walipogundua kuwa Nairese hayupo, majangili walikuwa tayari wametoweka ndani ya kina cha msitu. Nairese aatafanya nini ili kuepuke mtego wa ndoa ya mapema? Je, atafanikiwa katika dhamira yake ya kuwa  nyota wa jamii yake?

Author:
Ndereba Andy Muthamia

Parents are also buying

KSh 580.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.