- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 3-6 (PP1-PP2). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza kuwa ulemavu sio kukosa uwezo. Kilomi hawezi kutembea lakini anaweza kufanya mambo mengine mengi.